kuna mdau kanitumia hii picha ili tuone ni jinsi gani sehemu zingine wanavyoapa tabu ya usafiri,yaani kwa hali hii sisi huku mbona tuna usafiri wa raha sana.sasa kama nje iko hivi,huko ndani itakuwaje??
No comments:
Post a Comment