Sisi wamiliki wa Internet Cafe;Dar-es-salaam,tumekubaliana kushirikiana na wenzetu wa mikoa ya mwanza,arusha,unguja,dodoma na mtwara ili kumsaka na kumtia Mbaroni mtu yeyote atayetumia vituo vyetu kutuma picha za porno au zaku dhalilisha watu mahali popote.
Tumeamua kuchukua hatua hii kutokana na matatizo makubwa yanayo watokea watanzania bora kupitia blog ya UTAMU!Hizi ni baadhi ya hatua tulizokubaliana na kamanda wa polisi,mjini dar ilituweze kumbana na kumkamata huyu jamaa UTAMU!
Kwa msaada wa software maalum ya ant-download detect tutafuatilia wateja wetu wote watakao download na uploading file lolote kwa lengo la kuzuia.Tafadhali tunaomba ushirikiano wenu wateja wetu.
Ahsante
Mr John David
No comments:
Post a Comment