.jpg)
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe,picha hii inayoonyesha kijana aliyebeba furushi la makopo ya maji,anayokwenda kuuza kwa kupima kwa kilo,ambapo kilo moja inanunuliwa kati ya sh.250/= hadi 300/= .na vijana wengi wamejiingiza katika biashara kama hizi ili kuweza kujipatia kipato na kuendeleza maisha ya kila siku.
No comments:
Post a Comment