HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 7, 2008

Mitaa Ya Kati Wiki Endi Hii

nashangaa kuona hili shimo halijazibwa hadi leo hii,sijui ndio maandalizi mahandaki kwa ajili ya nanihii ikitokea??
hapa nipo mtaa wa Samora jirani kabisa na jengo la Harbour View Tower (J.M.Mall zamani) ambamo ndio ninapobebea box kwa ajili ya kutafuta mkate wa kila siku. 
hapa ni mtaa wa Jamhuri street,jirani na jengo la Benjamin Wiliam Mkapa Tower ambalo hapo awali lilifahamika kwa jila la Mafuta House.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad