HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 20, 2008

Mgambo Siku Hizi Ni Bonge Dili!

sasa kama hapa walikuwa wameshalifunga lile chuma lao katika hii gari,lakini jamaa mwenye ndinga alipoibuka na kuona gari yake imepigwa pini na hawa jamaa walikuwa katika hiyo gari ya mbele yake,akawaita na kuanza kuimbishana nao mpaka wakafikia muafaka na jamaa wakalifungua chuma lao na kuanza kujikataa zao.sasa sijui huo mkwanja waliopata hapo utafika sehemu husika???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad