HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 13, 2008

Dabo Difu Hiyo!! Sumatra Mpoooo??

hiki kama ni kipanya basi ni kipanya buku,maana naamini kabisa hata Sumatra wakiiona hii gari inabidi wakae kimya tu maana inauwezo wa kuchukua abiria wengi kama wanavyo taka wao.teh teh teh teh safi sana,hii itatufaa sana sisi wakazi kule Mbagala.ahsante ya picha kaka Mjengwa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad