Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na sekondari wameandamana leo kupinga ongezeko jipya la nauli ambapo awali walikuwa wakilipa sh 50 na kwa sasa wanatakiwa kulipi sh 100 ilianza rasmi leo Agosti 1. ahsante ya picha kwa Father Kidevu Blog.
No comments:
Post a Comment