HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 26, 2008

Vunja Mbavu!!

MFUNGWA MWAFRIKA
Mfungwa mmoja Mwafrika,alitoroka jela baada ya kukaa miaka 15.Katikakukimbiakimbia akajikuta anaingia nyumba moja na kuwakuta mke na mume wamelalakitandani wakiwa kama walivyozaliwa.
Mfungwa akatumia mabavu akamtoa mume kitandani na kumfunga kamba kwenye kiti,kisha yeye akaenda kumbusu kwenye shingo mke wa jamaa.Ghafla akaingia bafuni.
Wakati yupo bafuni, jamaa mwenye mke akamwambia mkewe;
"Sikiliza mke wangu, huyo bwana anaonekana ni mfungwa, angalia magwandayake!!
Inaonekana amekaa sana jela na hajalala na mwanamke siku nyingi sana. Hivyo mpechochote atakacho na usibishe, hata akitaka penzi mpe vinginevyo atatuuwa wotewawili. Fanya ufanyavyo ili umridhishe huyu bwana aende zake,vumiliampenzi,nakupenda sana na nitaendelea kukupenda zaidi.
Mke Akajibu;"
Ni kweli usemavyo mume wangu. Huyu bwana hajalala na mwanamke sikunyingi,ila aliponibusu shingoni alininong`oneza kwamba,MUME WAKO NI MZURI NAAMENIVUTIA ZAIDI,KUNA MAFUTA YOYOTE?"Nikamjibu yapo bafuni na ndiyokayafuata!!Vumilia mume wangu,nakupenda sana na nitaendelea kukupendazaidi."

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad