

Ulimwengu ulishangaa baada ya China kujitwalia medali nyingi za dhahabu kuliko nchi nyingine katika mashindano ya Olympics yaliyomalizika hivi karibuni..lakini maandalizi yake unayaona yanaanzaia wapi?picha hizi ni kwa hisani ya mdau Komred wa kijiji cha FOTOBARAZA.

No comments:
Post a Comment