HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 18, 2008

Traffic Wameenda Lanch????

Pichani ni Kondakta wa Basi linalofanya safari zake jijini Dar es Salaam akiongoza magari baada ya foleni kubwa ya kwenye makutano ya barabara ya Lumumba na Uhuru.ambapo mpaka mdau wa ThisDay aliyepiga picha hii anaondoka eneo hilo hakukuwa na dalili zozote za polisi wa Usalama barabarani( Traffic).picha kutoka Haki Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad