HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 6, 2008

Rocky City

Mwanza patamu jamani wala sio masihara,ila kuna kitu huwa kinachoniumizaga sana kichwa,na hasa kwa wale wanaoishi juu kabisa ya hii milima kuhusiana na yale mambomambo yetu ya kule nanihii kwamba mashimo yake huwaga wanayachimbaje na yanakuwaga na urefu gani katika haya mawe??
jamani naombeni mnieleweshe kwa hilo kwani kuuliza sio ujinga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad