
baba wa bwana harusi mh. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na mwanae Ridhiwani wakati wa harusi iliyofanyika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es salaam, jana.

Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa na mai waifu wake Bi. Arafa Mohamed mara baada ya kufunga ndoa hapo jana katika ukumbi wa ubungo plaza, dar. maharusi wote ni wanasheria na wanafanya kazi dar.picha kutoka kijiji cha jirani
issamichuzi.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment