
Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu Paschal Mayalla akiwa Hospitalini mkoani Dodoma baada kupata ajali na pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani huko,Paschal amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa ni pamoja na mkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.picha kwa hisani ya
Mzee Wa Sumo Blog.
No comments:
Post a Comment