Askari Polisi waliopo kwenye kitengo cha kukamata taxi bubu bongo,wakiwa wamekata moja ya taxi bubu walipoiotea pale maeneo ya mtaa wa Samora.hii operesheni imeanza sasa ili kukamata gari zote zinazo kwepa kulipa kodi.
No comments:
Post a Comment