Hatimaye Mkutano wa tatu wa kuweka sawa mfuko wa kuchangia watoto yatima kupitia kijiji, kutoka kwa wanakijiji, unafanyika kwa mara nyingine pale Kijiji cha Makumbusho, kuanzia saa nane mchana (sio saa kumi jioni).
Kati ya yatakayojadiliwa ni: 1)Marekebisdho ya katiba iliyotokana na kikao kilichopita 2) Kuchagua nembo ya kikundi kati ya tatu zilizotumwa 3)Kujaza fomu za kusajili kikundi.
No comments:
Post a Comment