
Mfalme Mswati wa Swaziland akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakiangalia burudani ya ngoma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuwasili nchini kwa shughuli za uwindaji katika mbuga ya Seluu. Mswati ameambatana na mmoja wa wake zake.Picha na
Father Kidevu Blog.
No comments:
Post a Comment