HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 23, 2008

Kituoa Cha DalaDala Cha Temeke Kulikoni??

leo katika katiza katiza zangu nikajikuta nimefika mpaka Temeke ambapo kitu nilichokiona sikuweza kuamini,maana hiki ni kituo kikuu cha daladala lakini hakuna gari hata moja linalosimama katika kituo hiki na nilipojaribu kuuliza kulikoni sikupata jibu lakuniridhisha na mpaka sasa sijui ni kitugani kilichokikumba kituo hiki,naombeni msaada wadau wangu kujua nini kinaendelea juu kituo hiki.

1 comment:

  1. hahahahaaa. kuna mtu hapa umemgusa sana anakaa mitaa hiyo naona kakunja ndita nikamuuliza kulikoni ndio akanionyesha hii

    ReplyDelete

Post Bottom Ad