Mpiga Picha Maalum wa gazeti la ThisDay anaripoti kuwa Polisi Kanzu wa jijini Dar es Salaam wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja wa makosa mbalimbali ya ujambazi barabara ya Uhuru Kariakoo na kufanikiwa kumfikisha katika kituo cha Polisi Msimbazi.
No comments:
Post a Comment