hapo hiyo Bajaj ndio ilioigonga hiyo gari,na hapo walikuwa wakimsubiri askari wa usalama barabarani ili aje apime hiyo ajali.yaani siku hizi ni full utemi hapa bongo,hakuna cha Bajaj wala gari kote ni ngoma droo.
No comments:
Post a Comment