

Basi la kampuni ya Kimambo Express likiwa limepinduka lilipokuwa katika harakati ya kukwepana na gari dogo (chini) katika eneo la Nane Nane mkoani Morogoro na watu wawili wamepoteza maisha katika ajali hiyo. Lakini wakati watanzania wenzetu wanapoteza maisha na kupata vilema vya kudumu ni nini kifanyike ili kuepukana na ajali kama hizi ambazo kila siku zinatokea? picha kutoka
Sumo Blog.
No comments:
Post a Comment