Rais Jaka Kikwete akiweka jiwe la msingi katika sekondari ya Kidato cha tano na Sita ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inayojengwa huko wilaya ya Korogwe mkoani Tanga jana.akiongea na wananchi wa Korogwe Mara tu baada ya ufunguzi huo Rais Kikwete amewahimiza kujenga hostelki husasan kwa wanafunzi wa kike ili kuwapatia mazingira bora ya kufanya vizuri katika masomo.
Thursday, July 17, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment