HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 20, 2008

Warembo Watakaoshiriki Miss Tz 2008 Warejea Toka Kanda Ya Ziwa

Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2008, wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere, Dar es Salaam jana, wakitokea katika mikoa ya Kanda ya Ziwa walikokuwa katika ziara yao ya wiki moja. Katika ziara yao pia walitembelea kaburi la Baba wa Taifa na kutoa misaada Hospitali ya Sekotoure ya mjini Mwanza.picha na Father Kidevu Blog.

1 comment:

Post Bottom Ad