hii ndio barabara ya kuelekea Tabata Segerea,ambayo kwasasa inarekebishwa ili na yenyewe iwe ya kiwango cha rami.
Sasa wasisahau kuweka mifereji mizuri kuhimili mvua za masika na iwe ya kudumu
ReplyDelete