
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Msente,wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga,wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea wilaya hiyo mpya na kuzindua miradi ya maendeleo.na chini Rais Kikwete akizindua mradi wa umwagiliaji wa Bonde la Msisi katika wilaya hiyo ya Kilindi leo asubuhi.picha na
Michuzi Blog.
No comments:
Post a Comment