Rais Jakaya Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu katika zahanati ya Vuo,katika wilaya mpya ya Mkinga, muda mfupi baada ya kuifungua zahanati hiyo.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua shughuli mbalimbali za maendeleo.
I like the way you wrote this kind of blog.
ReplyDeletehome loans