HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 13, 2008

Nyanda Wetu Mpya Wana Jangwa Kutoka Nchini Serbia

Nyanda wetu mpya huyo wana jangwani,mbona watani wetu mwaka huu mtakoma.ni Mserbia na jina lake Obren Curkovic hapa akijinoa tayari kwa kumenyana na APR ya Rwanda leo pale Neshno.na watani wetu sasa leo ndio angalieni wenzenu wanavyo sakata kabumbu la kwenye video na sio kama la kwenu jana

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad