HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 17, 2008

Msanii Huyu Kapotelea Wapi??

huyu si mwingine bali ni msanii wa bongo freva aliyewika sana na kundi lao la Parkline toka kule jiji Tanga lililokuwa likijumuisha wasanii wawili waliokwenda kwa majina ya Suma Lee (pichani) na mwenzie C pwaa.sasa swali langu kwa leo ni kwa huyu Suma Lee ambaye amepotea kabisa kwenye gemu na hatujui aliko na anafanya nini huko aliko?je kuna anaejua alipo msanii huyu na anachokifanya kwa sasa?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad