HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 1, 2008

Miaka Mitano Ya TFDA

Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume akitoa hutuba yake wakati wa maadhimisho ya miaka mitano ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Prof. David Mwakyusa na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TFDA na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wilson Mukama.
Baadhi ya wapigapicha waliohudhuria maadhimisho ya miaka mitano ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wakiwa kazini jijini Dar es Salaam jana.Picha kwa hisani ya FATER KIDEVU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad