HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 14, 2008

Mh. Rostam Asema Fedha Alizonazo Ni Za Halal Na Si Za Kifisadi


Mh. Rosta Aziz(MB) akifafanua kwa waandishi wa habari Dar jana katika hotel ya Kempiski kilichotokea katika hafla ya kuchangia kwaya ya kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania (kkkt) usharika wa Kinondoni hivi karibuni.Rostam alizungumza mengi likiwemo suala la pesa zake kuwa Pesa alizonazo ni za halali zitokanazo na jasho lake kutokana na biashara ambazo zimekuwa zikiendeshwa na familia yake huko Tabora tangu mwaka 1852

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad