HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 26, 2008

Mabomu Yalipuka Bangalore,Nchini India

baadhi ya wana usalama wa nchini India,wakiwa katika kufanya uchunguzi wa mabomu yaliyolipuka huko Bangalore.inasemekana kwamba watu wawili walikufa na wengine kumi na tano wamejeruhiwa.kwa habari kamili waweza tembelea kijiji cha Mdau Evans aliopo huko Bangalore

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad