wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es salaam(DAWASCO),wakiwa katika ukarabati wa kubadirisha bomba lililopasuka na kusababisha baadhi ya wakazi wa maeneo ya mtaa wa zanaki na jirani na hapo kukosa maji kwa siku kadhaa.
No comments:
Post a Comment