
pichani ni wasanii Lady Jay Dee na Will Smith,wakipata picha ya pamoja walipokutana katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Rais wa zamani wa Africa Kusini Mzee Nelson Mandela,iliyofanyika mwezi uliopita nchini Uingereza.Jay Dee anasema sherehe ilie ya Mzee Madiba imempa mwangaza mzuri.unataka kujua ni mwangaza gani alioupata toka huko?
bonyeza
HAPA ili ujue alichikivuna huko.
No comments:
Post a Comment