
"Jana nimenasa "mdhungu" akiongeze kiwese baada ya mafuta ya mwanzo kutotoa ushirikiano(kuisha).Gari lilianza kustua stua kabla kuzima mitaa ya posta mpya(namaana kati kati ya jiji -keskustori).Baadaye suka alishuka na kufungua duka"boneti" alipoona hakuna wateja"tatizo" akaamua kutoa kidumu na kujaza wese!Kwa hakika binafsi katukio kalinistua ..kwani sikutegemea kukutana na tukio kama hilo.Habari ndiyo hiyo...."ni maneno ya aliyekutana na tukio hili huko Ufini ambaye si mwingine ni Nyanda nambari wani wa timu Tampere City ya huko Ufini kaka
Edo Ndaki.shukrani sana mkuu kwa picha hii.
No comments:
Post a Comment