
mtangazaji mahiri wa redio ya Clouds FM 88.4 Hamis Mandi a.k.a B 12.jana alisherehekea sikukuu yake kumbukumbu ya kuzaliwa kwake,ambapo ilikuwa tarehe 22 julai ya miaka hiyoooo.na hapa akimlisha keki mwanadafada makini Dj Fetty,huku Jr 1 denda likimdondoka ile mbaya.nami bila hiyana nampongeza sana kijana mwenzangu huyu kwa kutimiza miaka hiyo kadhaa.picha na
Jr 1 .
yap, nice pic. u r a big,big boy in da big,big world B, Mbona kama na yeye anaimezea mate vile,au amekatazwa kuila ya wageni jamaniiiiiiiiiii
ReplyDelete