
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha Rose-Migiro, akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani Dar es Salaam jana, alipohudhulia sherehe za kukabidhana maktaba ndogo ndogo na za kisasa zilizogengwa katika mikoa ya pwani na Dar es Salaam chini ya mradi maalumu wa Mmoja wa Mataifa wa (UNWTO Step Foundation). picha na
Mzee Wa Mshitu blog.
No comments:
Post a Comment