aliyekuwa Mbunge wa Tarime kwa tiketi ya Chadema,Marehemu Chacha Wangwe anatarajiwa kuzikwa leo huko kijijini kwao Kemakolele,Wilayani Tarime,Mkoani Mara.Mungu aiweke roho ya Marehemu Chacha Wangwe mahali pema peponi.Amini
No comments:
Post a Comment