siku hizi bongo kuna waosha magari wa barabarani kama hivi uonavyo picha hii,hapo taa nyekundu ikiwaka na kazi ndio inaanza ikiwaka kijani kazi imekwisha,na wanafanya kwa kiasi cha kuanzia 200/= na kuendelea.
No comments:
Post a Comment