
Dada Asia Idarous kutoka Fabak Fashions,ameingiza vitu vipya kibao pale dukani kwake na hapa akinionyesha moja ya vazi alilolibuni yeye mwenyewe ambalo litakuwa ni moja ya vazi litakalo valiwa na warembo watakaoshiriki miss Tanzania 2008 ambalo linatarajia kufanyika hivi karibuni,waweza mtimbia pale dukani kwake jirani na Msasani Club au mawasiliano kwa namba 0784 263363 na pia anapatikana kwa barua pepe http://idarousfabakasia@yahoo.com/. nyoote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment