Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimaina na Viongozi wa Dini wa mkoa wa Kigoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya sikumbili mkoani humo,Juni 29,2008.Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Kigoma,Kanali Joseph Simbakalia.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment