katika katizakatiza zangu mitaa kwa mitaa,leo nilikatiza mtaa mmoja na kukutana na watoto hawa ambao walikuwa wakijaribu kumfundisha kutembea mtoto mwenzao ambaye alikuwa ni mdogo zaidi yao.tuache masihara wengi tumepitia steji hii.
No comments:
Post a Comment