HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 2, 2008

Ubachela Baiiiii Baiiiii






rafiki na mdau wangu mkubwa sana wa blog hii,ndugu Nourdine ambaye ameamua kukitoka ghafla kijiji chetu cha mabachela na kukubaliana kwa pamoja na bibi Fides kuingia katika kijiji cha jirani cha kuanza kuitwa baba na mama nanihii mwishoni mwa wiki hii.
hongera sana ndugu yetu kwa tunajua kujitoa kwako katika kijiji chetu ni nafasi kwa mwingine na sisi wanakijiji wa kijiji cha mabachela,tunakutakia kila la heri katika kila la kheri na fanaka tele katika maisha mapya ya ndoa.hongera sana kaka yetu.


3 comments:

  1. hongera sana sana sana
    mungu akujalie watoto saba.wakike5 na wa kiume2.

    ReplyDelete
  2. mama weeeeeeeeeee huyu sialikuwa demu wa mshikaji jamani mshikaji alikuwa amekolea sana nasikia mshikaji ni mhandisi... nakukumbuka fides ulipokuwa unakuja mlimani kwa mshikaji mnatupiga EXILE lakini leo umemtosa jamaa yni roho imeniuma sana kumbe hata mimi naweza kutoswa? nimeshaanza kupata experience pole mhandisi sijui uko wapi niliona jina lako kama vile unaenda india kusoma vile au? pole dogo utampata mwingine nadhani umejifunza kitu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad