HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 3, 2008

Rush Hour 4 Inakuja

mcheza filamu maarufu wa Hollywood Chres Tucker ametua bongo,na inasemekana ujio wake hapa bongo ni kutaka kukutana na mwana blog maarufu Issa Michuzi kwa ajili ya kutengeneza muvi la Rush Hour 4,baada ya aliyecheza nae mwanzo Jack Chan kutokuwa na nafasi kwa kipindi hiki.jamaa kapata bonge la zali hahaaa hahah haha bigi apu mkuu

1 comment:

Post Bottom Ad