HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 4, 2008

Ibrahim

huyu ndiye supa vaiza wa presishen ea kwa upande wa kanda ya ziwa nina penda kumuita mkuu Ibra,huyu ndiye alikuwa mwenyeji wetu kule jiji Mwanza tulipoenda kwenye uzinduzi rasmi wa dege jipya la presishen la boingi 737.namshukuru sana kaka Ibra kwa ukarimu aliotunyesha tulipokuwa kule.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad