.jpg)
mezani ni hela za sarafu ambazo zinauzwa kama change,uuzaji wake ni kwamba ukitaka change ya elfu moja unapewa mia tisa na ukitaka change ya elfu kumi ba ujue yako ni elfu tisa tu.vijana wengi siku hizi wanafanya biashara hivi kwa kujikimu ki maisha.
No comments:
Post a Comment