Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 18, 2026, ni mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 40 ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH).
Hafla hiyo inafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


.jpeg)
.jpeg)

No comments:
Post a Comment