HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 6, 2026

CRDB UBUNGO YAAHIDI KUIMARISHA HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa Benki ya CRDB, Tawi la Ubungo, Hollo Buyamba, akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Katika tukio hilo, Buyamba alieleza umuhimu wa kuendelea kuboresha huduma, kusikiliza maoni ya wateja na kuhakikisha wanapata huduma kwa ufanisi, huku akisisitiza nafasi ya ushirikiano kati ya wafanyakazi na wateja katika kujenga uzoefu bora wa huduma.



































Picha mbalimbali za wafanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Ubungo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
( PICHA NA ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA WA MMG )




 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad