HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 2, 2026

NYAMONGO YAPOKEA PROGRAMU YA MBT, TAARIFA ZA KIJIOLOJIA KUWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, akizindua Programu ya Mining for a Brighter Tomorrow (MBT) katika eneo la Nyamongo, mkoani Mara, inayolenga kupanua fursa za maeneo ya uchimbaji, taarifa za kijiolojia na leseni kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.

Helikopta ikifanya utafiti wa madini kwa njia ya anga katika eneo la Nyamongo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya MBT, hatua itakayosaidia kupata taarifa za kijiolojia kwa ajili ya utafiti wa kina na uchorongaji katika maeneo yaliyotengwa kwa wachimbaji wadogo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad