
LEO ndio ile siku ambayo raundi ya nne ya msimu wa La Liga 2026/27, ikiwakutanisha timu mbili zinazopigania kujikwamua kutoka sehemu za chini za msimamo baada ya mwanzo mgumu wa msimu.
Getafe watakuwa nyumbani wakiwa na lengo la kurejesha ari yao baada ya kupata matokeo yakuyumbayumba, huku Celta Vigo wakiwa wanahitaji ushindi wa kwanza kabisa msimuni ili kuepuka hatari ya kuzama zaidi kwenye msimamo.
Timu ya Getafe imeanza msimu vibaya kiasi walifungwa 3-0 na Deportivo Alaves katika mechi ya kwanza, kisha wakapata ushindi wa 1-0 dhidi ya Racing Santander, kabla ya kufungwa tena na Osasuna katika raundi ya tatu. Hali hii inaonyesha kuwa ulinzi wao bado haujaimarika vya kutosha, ingawa nyumbani wamekuwa na uwezo wa kupata pointi dhidi ya timu za kati. Mchezaji wao Mauro Arambarri anaendelea kuwa nguzo muhimu kwenye eneo la kati la uwanja, huku Luis Milla akiwa msambazaji wa mipira.
Upande wa Celta Vigo, hali ni ya wasiwasi zaidi. Timu hii bado haijapata ushindi hata mmoja katika raundi tatu za kwanza ilianza msimu kwa sare ya bila mabao dhidi ya Valencia, kisha ikafungwa 2-1 na Osasuna, ikafuatiwa na kufungwa 0-2 dhidi ya Athletic Club, na hivi karibuni tu (Septemba 3) walifungwa 3-1 na Real Sociedad.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kocha Claudio Giráldez anakabiliwa na presha kubwa kuboresha matokeo, huku ulinzi wa timu ukionekana kuwa dhaifu na mashambulizi yakikosa ufanisi. Iago Aspas bado ni kiungo muhimu mbele, lakini timu kwa ujumla inahitaji uimara zaidi wa kimkakati.
Kwenye michezo yao iliyopita, Getafe wanaongoza kwa ushindi mara 11 dhidi ya 9 wa Celta Vigo, huku michezo mingine ikiishia sare. Mchezo wao wa mwisho hivi karibuni, uliofanyika Februari 2026 katika uwanja huohuo, uliishia sare ya bila mabao (0-0), ikionyesha jinsi mechi za timu hizi mbili zinavyoweza kuwa ngumu.
Kwa kuzingatia hali ya sasa Getafe wakiwa na ulinzi imara nyumbani ingawa mashambulizi yao si makali sana, na Celta Vigo wakiwa katika msukosuko wa kutopata ushindi Getafe wanaonekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchukua pointi tatu.
Na kwa wasomaji na mashabiki wote w soka na ubashiri, kesho ni siku nyingine kubwa kwa soka la Ulaya! UEFA Champions League ya msimu wa 2026/27 inaanza rasmi kesho, Jumanne, Septemba 8, huku michezo kadhaa mikubwa ikitarajiwa kuwakutanisha baadhi ya vigogo wa soka barani Ulaya. Miongoni mwa michezo ya kuvutia ni Real Madrid dhidi ya Inter Milan, Porto dhidi ya Manchester City, Borussia Dortmund dhidi ya Villarreal na Club Brugge dhidi ya Aston Villa. Endelea kufuatilia Meridianbet kwa matokeo ya UEFA Champions League.

No comments:
Post a Comment