HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 17, 2026

Matukio picha ya mbalimbali ya Tume ya Taifa ya Unesco Maonesho ya Elumu ,Tanga

 Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara  wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Unesco  Bi.Julitha Mlay akiwaonesha namna ya  fursa za Tume hiyo kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara  wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Unesco  Bi.Julitha Mlay akiwa katika picha  ya pamoja na  Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara  wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano  Bi.Julitha Mlay akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad