HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 3, 2026

Waziri wa Fedha, Kamishina wa Sensa Watembelea Banda la Chuo cha Uhasibu Arusha

 

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary Akizungumza  katika Banda la Chuo cha  Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Kamishina wa Sensa ,Spika Mstaafu Anna Makinda akisaini Kitabu katika Banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)  wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad